TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tory Lanez Amshukuru Drake Kwa Jambo Hili Hapa

Right Now wawili hawa wanaotokea Toronto walishamaliza tofauti zao muda mrefu na Right now kuna kubwa la kulijua.

Aug 7 katika Ovo Fest Rapper Drake aliweza kumleta Tory Lanez kwenye stage kama suprise na ku perfome katika jukwaa hilo pamoja bt kitendo hicho kimechukuliwa na Tory Lanez kama ni kitendo kimoja cha maana na muhimu sana alichokifanya Drake kwake mpaka kutumia ukurasa wake wa Instagram kumshukuru.

Tory Lanez katika ukurasa wake wa Instagram aliandika,"Didn't get a chance to say it on stage but this moment was not only impactive to me , but it was BIG for the city of Toronto ... thank u @champagnepapi for bringing me out at the fest but a BIGGER thank u for paving the way for artist like me to shine from this city ! Let's continue to put on for Toronto together #YaDunKnowFomlayRespectZeen lol 📸 @Midjordan "


EmoticonEmoticon