TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nicki Minaj & Quavo Wa Migos,Something Going On

Kaa mkao wa kula kwani Female Rapper Nicki minaj pamoja na Quavo toka kundi la migos wameonekana katika viwanja mbalimbali wakiwa wanashoot video ambayo mpaka wakati huu haina jina na haijajulikana itatoka lini.

Kupitia account ya Nicki Minaj ya Instagram ameweka picha na video zikiwa zinaonyesha wakiwa location katika kutengeneza video hiyo mpya.Tazama video hapo chini




EmoticonEmoticon