TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Billboard Waomba Radhi Kwa Kuchelewesha Majibu Ya Chart Za Album Kuchelewa

Last Week Billboard waliweka watu watatu ambao ni Meek Mill,Tyler The Creator na Lana Del Rey ambao walikuwa wanagombania kufika namba moja wakati majbu ya wiki yatakapotoka bt kwa upande wa Meek Mill alikuwa anaongoza mpaka wakati huo kwa kuuza Copy 90,000 bt mpaka now chart zimechelewa.
Kupitia Billboard Aug 1 wameomba radhi kwa chart ambayo itaaper Aug 12 kuchelewa mpaka now ambapo ni kutoakana na matatizo ya kiufundi ya data kupelekwa Nielsen Music.Kwa namna hiyo hawataweza kuachia majibu ya chart hizo mpaka mpaka wakamilishe matatizo na wapate data kamili.

Kwa kumaliza wameandika kuwa,"Majibu ya chart hizo yatatangazwa na ku postiwa mapema itakavyowezekana ndani ya week hii,Asanteni kwa uvumilivu wenu"
Alichokiandika Tyler The Creator via Twitter  
"THIS IS CRAZY MAN IM OFF THIS"


EmoticonEmoticon