Female Rapper Nicki Minaj right now ameamua kupanua wigo wake wa kazi kwa kuleta M.A.C Cosmetics collection(Vipodozi) ambavyo vinategemewe kuingia sokoni ndani ya mwaka huu.
Kupitia Billboard creamy lipstick kila moja itauzwa kwa Dola $18 ambazo kwa pesa za kibongo ni sh.40,302.
Kupitia pia ukurasa wa Twitter wa Nicki Minaj ametambulisha bidhaa hizo kwa kuandika,“Guess who’s back w/ M·A·C?”Surprise announcement coming for 2018! Until then, #NickiNudes come out globally in September.”
Guess who’s back w/M·A·C? Surprise announcement coming for 2018! Until then, #NickiNudes come out globally in September. #MACxNickiMinaj pic.twitter.com/g7BGAg5TMx— NICKI MINAJ (@NICKIMINAJ) August 22, 2017
EmoticonEmoticon