TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

MTV Wametoa List Nyingine,Watakao Perform Kwenye Tuzo Hizo

Baada ya List ya Kwanza na ya Pili,Right Now kuna wasanii wengine wameongezwa katika ku perform kwenye Tuzo hizo kubwa zinazotarajiwa kufanyika tarehe 27 August.

List ya wasanii walioongezwa ni akiwemo Logic, Khalid, Gucci Mane, na Post Malone ambao watakwenda ku perform katika jukwaa la Mtv wakati wa ugawaji wa Tuzo za Mtv Video Music Awards

Tazama Tweets ya Mtv Hapo chini.


EmoticonEmoticon