TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Miley Cyrus Atangaza Jina Na Tarehe Ya Kutoka Kwa Album Yake

Akiwa anafanya powa na ngoma zake 2 za mwaka huu, Malibu pamoja na Inspired,mwanadada Miley Syrus ametaja tarehe ya kutoka kwa album yake na jina kamili.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka short video inayoonyesha jina pamoja na caption ikionyesha tarehe na jina la album tena,"#YoungerNow NEW ALBUM 9.29.17 !!! ❤️💙💛💚💜❤️💙💛💚💜❤️💙💛💚💜💙 @itsjeremyscott"

Album yake mpya itaitwa Younger Now na ita Land  September 29


EmoticonEmoticon