TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mastaa Walivyo React Baada Ya Ushindi Wa MayWeather Na Alichokisema P Diddy

Baada ya Aug 26 Floyd kumtoa mpinzani wake kwa Knock Out kwenye Boxing match,Mastaa wa Hip Hop baadhi wameweza ku react katika mitandao yao ya kijamii.

Kupitia mtandao wa Twitter wa Diddy aliweka video aliyokuwa akisema,racially profiling.” “They should have let him knock that chump down,Let him knock him out next time. Can we see a motherfuckin’ knockout? Can we see somebody else on the ground besides us? Take that.”






A post shared by Keyshia Cole (@keyshiacole) on


EmoticonEmoticon