Msanii toka Nigeria Davido baada ya kufanya powa na Album yake ya Son Of Mercy,Right now kuna Headlines kwamba anataka adondoshe mzigo mwingine wa Album Sokoni.
Kupitia Snap chart Davido amewaonyesha mashabiki album yake hiyo ambayo ngoma kadhaa zimeshatoka ikiwemo,Pere ,If na Fall.
Mpaka sasa Album hiyo tayari imekwishakamilika na ita Land ndani ya mwaka huu
EmoticonEmoticon