TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kaa Tayari Kwa Ujio Huu Wa Justin Bieber

Shabiki wa Justin Bieber inakubidi ukae mkao wa kula kwani ni toka muda mrefu haujasikia kazi ya Bieber zaidi ya aliozoshirikishwa tu.

Kupitia account yake ya Twitter ameweza kutangaza ujio wa kazi yake mpya na kuweka cover ambayo amefanya na Producer Blood Pop ambayo ita land ndani ya Week hii siku ya Alhamic mchana ambayo itakuwa tarehe 17 August.

Kupitia account yake ya twitter ameandika,"New music. Thursday noon"


EmoticonEmoticon