TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Eminem Atoa Tusi Hili Hapa Kwa Raisi Donald Trump Wa Marekani(VIDEO)

Aug 24 Rapper Eminem alikuwa akifanya shoo huko Bellahouston Park ndani ya Scotland na kudondosha tusi zito kwa Raisi wa Marekani Donald Trump wakati shoo hiyo ikiwa katikati.

Katika kipande cha video Eminem anasema,Ladies and gentlemen, Scotland ndyo kutakuwa our new home, kwasababu wakati huu, mambo hayaendi powa kule States,Nataka kuchukua nafasi hii sasa hivi kwa kusema kwamba motherfuck Donald Trump.”


EmoticonEmoticon