TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Chris Brown Atangaza Jambo Hili Ndani Ya Week Hii.Stay Tune

Msanii Chris Brown ametumia account yake ya Instagram pamoja na Twitter kutangaza ujio wa ngoma mpya ndani ya week hii siku ya leo Aug 2 ndyo ametangaza.Anamaanisha ngoma zaidi ya moja cs aliandika Single(s)

Kupitia account ya Twitter na Instagram aliandika,"NEW SINGLE(S) DROPPING THIS WEEK❤️"

A post shared by 🤖👽🌕 STREAM PRIVACY (@chrisbrownofficial) on


EmoticonEmoticon