TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Billboard Watoa Majibu Ya Chart Za Album Billboard 200

Baada ya Billboard ku apologize kwa kuchelewa kwa chart ya Album kutoka Nielsen Music,Right now wamekusogezea full chart kamili ya Billboard 200 iliyokamilika.

Kupitia wale 3 waliotoa Album na wakawa wanagombania nafasi hiyo,Right now Lana Del Rey anaongoza kwa Album yake ya Lust For Life kuuza copy 107,000 na anayefwata ni Tyler The Creator na Album yake ya Flower Boy ambayo imeuza copy 106,000 na Meek Mill na Album yake ya Wins & Losses imeuza copy 102,000.

Top 10 Mabadiliko Ya Chart Za Billboard 200
1. Lana Del Rey – Lust for Life – 107,000
2. Tyler, the Creator – Flower Boy – 106,000
3. Meek Mill – Wins & Losses – 102,000
4. Linkin Park – One More Light – 50,000
5. Kendrick Lamar – DAMN. – 48,000
6. Various The Descendants 2 – 46,000
7. JAY-Z – 4:44 – 45,000
8. Linkin Park – Hybrid Theory – 41,000
9. DJ Khaled – Grateful – 36,000
10. Romeo Santos – Golden – 36,000


EmoticonEmoticon