TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wizkid Amekamata Nafasi Hii Hapa Billboard 200 Na Sound From The Otherside

Wizkid baada ya kutoa mixtape yake ya Sound From The Other side Been a week Now,Amefanikiwa kufika katika chart za Billboard 200 kutokana na ngoma zake alizopiga collabo humo ndani ambazo nazo ni Hot.

Sound From The Otheside iliyoshirikisha mastaa kama Chris Brown, Trey Songz, Drake, Ty Dolla $ign pamoja na Major Lazer,Kwa week ya kwanza imefanikiwa kukamata nafasi ya 107 katika chart hizo za Billboard 200.


EmoticonEmoticon