TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Achora Tattoo Ya Mmoja Kati Ya Ma Rapper Waliochangia Mafanikio Yake.Tazama Picha Hapa

Rapper Drake akijiskia kutoa yaliyo moyoni huwa anatoa na kutaka kabisa ubaki katika kumbukumbu zake basi kuna jambo kubwa analifanya kwaajili yako.

Drake amechora Tattoo ya Rapper Lil Wayne katika mkono wake wa kushoto na Lil Wayne ni mmoja kati ya watu waliofanikisha safari ya mafanikio ya Drake since Dayone.Tazama picha aliyoichorea Tattoo na ya kwake.

A post shared by champagnepapi (@champagnepapi) on


EmoticonEmoticon