TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wiz Khalifa Amefunguka Kuhusiana Na Mahusiano Ya 21 Savage & Amber Rose Pamoja na Project Yake

Rapper Wiz Khalifa amefunguka juu ya mahusiano yaliyopo kati ya Ex wake Amber Rose na 21 Savage na kuhusiana project yake ijayo,wakati alipokuwa akihojiwa na paparaz wa TMZ baada ya kutoka Mgahawa wa Tao ndani ya Hollywood 

Alipoulizwa kuhusiana na Project alijibu kwamba,hopefully before the end of the summer,” 

Alipoulizwa maoni yake kuhusiana na 21 Savage na anahisi vip kuhusiana na muziki wake na ukaribu wake na Amber Rose,Alijibu kwamba,He’s a good guy. He’s a good kid—everything I know about him,”

TAZAMA VIDEO



Amber Rose & 21 Savage Now Ni Mapenzi Moto Moto
A post shared by Amber Rose (@amberrose) on


EmoticonEmoticon