TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Meek Mill Atangaza Tarehe Ya Kudondosha Album Yake Wins and Losses & Cover

Baada ya kufunguka mengi katika kituo cha Real 92,Now Meek Mill ametaja tarehe kamili atakayodondosha Album yake ya nne baada ya DC4 ambayo inajulikana kwa jina la Wins and Losses.

Meek Mill ametumia ukurasa wake wa Instagram kutangaza kwamba Album hiyo ita Land July 21 mwaka huu.

A post shared by Meek Mill (@meekmill) on

Album hiyo ni ya Nne endapo utahesabia na DC4 ambayo ilidondoka October 2016


A post shared by Meek Mill (@meekmill) on


EmoticonEmoticon