Rapper Drake kumbe ni Fans mkubwa sana wa Jay - Z kwani ameungana na mashabiki kuipokea album mpya ya Jay - Z 4:44
Drake ameomba mgahawa wa Azumi ucheze album mpya ya JAY-Z 4:44,wakati anakula chakula cha usiku.
Msemaji wa Mgahawa huo amethibitisha kuwa Drake alitoa ombi hilo na mgahawa huo uliweza kutimiza ombi lake kwa kucheza album hio ambayo kwa sasa inapatikana kwenye CD pia.
We loved hosting Drake at #AzumiBaltimore last night for some sushi and drinks! // š·: Candice Law pic.twitter.com/vFTksMtS0yā Azumi Restaurant (@AzumiBaltimore) June 30, 2017
EmoticonEmoticon