TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Future & Nicki Minaj!!!Jambo Hili Linanukia Kwao


Baada ya Future pamoja na Nicki Minaj ku Team up kwenye Album ya Dj Khaled Grateful,Right now kuna Good News ya kujua kuhusiana na kazi yao pamoja.

February 8 kuna picha zilikuwa zinatambaa mitandaoni za Nicki pamoja na Future wakitengeneza kichupa bt still now  kichupa hakijatokea,Story zilizopo ni kwamba wawili hao wanategemea kudondosha mzigo ijumaa July 21 inayokwenda kwa jina la The Baddest.
Haijajulikana kama ile video waliyokuwa wanashoot ndyo ngoma yenyewe au kuna nyingine.

Lets Wait & See


EmoticonEmoticon