TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ed Sheeran Amerudi Twitter Bt Hiki Ndyo Alichokifanya.

Baada ya Account yake ya Twitter kutoonekana kuanzia siku ya jumatatu July 17,Rigt now Ed Sheeran amerudi katika account yake ya Twitter na kufanya mabadiliko.

Mabadiliko aliyoyafanya katika account yake ya Twitter ni kufuta Tweets baadhi cs kila muda unavyoenda anaendelea kupunguza.

Bt Account yake pia ina upungufu mkubwa wa watu cs time account imeanza kuonekana ilikuwa na Follows 5,916 na amewa Follow watu 776.huku muda unaenda Follows wanazidi kuongezeka na Kupungua.

Tazama Picha Hapo Chini Kwa Wakati Tofauti

Screen Shot ya 1:Followers wengi.

Screen Shot ya 2:Followers wamepungua.

UPDATES
Ed Sheeran ame Unfollow kila aliyekuwa amem follow katika mtandao wake wa Twitter
Katika Page Yake kwenye About ameandika haya,"I don't use this anymore, please follow me on @teddysphotos on instagram, lots of love x"(Mean hatumii account hiyo na kwa wewe shabiki anaomba um follow kupitia mtandao wake wa Instagram)





EmoticonEmoticon