TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Eminem Kuhusiana Na Album Yake Ya 9 & Dr Dre Kuhusiana Na Kuifanyia Kazi.

Baada ya ujio mpya wa muonekano wa Eminem na kupiga picha na baadhi ya mastaa,Hatimaye ukweli kuhusiana na Album yake ya 9 pamoja na Producer anayeifanya umekamilika.

Kupitia Directory wa Documentary ya The Defiant Ones Allen Hughes amesema kwamba Dr Dre amekuwa lab muda mrefu akishughulikia album ya 9 ya Eminem inayokuja.

Allen Hughes amesema,"Watu hawajui kuhusiana na Hili,Dre amekuwa akifanya kazi kila siku na wakati huu anafanyia kazi kwa masaa 11 katika ngoma mpya kwenye Album ijayo ya Eminem.So Dr Dre mpaka sasa yupo Active kwenye muziki."

Let's Wait & See Bt Tutegemee ujio mpya mkali wa Eminem  



EmoticonEmoticon