Muziki wa Hip Hop Duniani umepata pigo baada ya mmoja kati ya wasanii wakongwe katika muziki huo rapa Prodigy kufariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa Selinundu ‘sickle cell’.
Prodigy ni mmoja kati ya wasanii waliounda kundi la Mobb Deep akiwa na staa mwingine Havoc amefariki akiwa na umri wa miaka 42 na atakumbukwa zaidi kwa style yake ya kuimba na kufanya collabo nyingi huku moja kati yake ni Outta Control aliyoshirikishwa na 50 Cent.
EmoticonEmoticon