Baada ya kuachia ngoma yake ya kwanza inayoitwa Anothe Love Song May 30 ambayo inasindikiza Album yake ijayo,Neyo amefunguka juu ya jina la Album yake hiyo
Neyo amefunguka jina la Album yake ambayo itaitwa "Good Man" pindi alipokuwa katika mahojiano kwenye kipindi cha The Breakfast Club cha Power 105 Fm
Neyo Alisema,“I’m calling it that because that’s what every woman wants and what every man should strive to be,You’re not born a good man. You gotta go through some stuff, let some things happen, in order to become a good man.”
Album ya Good Man inategemewa kuingia sokoni September
EmoticonEmoticon