TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lines Katika Album Ya Jay - Z Inayosemekana Amem Diss Mtu Mzima Kanye West

Moja kati ya Album inayofanya powa kwenye mitandao ni pamoja na Album mpya ya Jay - Z ambayo inaitwa 4:44 iliyotoka June 30.

Katika album hiyo kwenye ngoma namba moja ambayo ni Kill Jay - Z imeonekana kuna maneno ya Diss kwa mtu mzima Kanye West.

Lines hizo zinasema,“You walkin’ around like you invincible, you dropped outta school, you lost your principles/I know people backstab you, I felt bad too/But this ‘fuck everybody’ attitude ain’t natural/But you ain’t the same, this ain’t KumbaYe/But you got hurt because you did cool by ‘Ye/You gave him 20 million without blinkin”/He gave you 20 minutes on stage, fuck was he thinkin’?/’Fuck wrong with everybody?’ is what you sayin’/But if everybody’s crazy, you’re the one that’s insane.”




EmoticonEmoticon