Kupitia kituo cha Radio cha Power 106 Fm kilichopo Los Angelous (LA) katika kipindi cha The Cruz show,Kendrick Lamar ameweza kuwataja ma rapper wa Hip Hop anaowakubali wakati wote.
Kendrick Lamar aliwa mention ma Rapper watano walio hai na ambao hawapo kwenye game(mean wameshakufa)
1:Jay - Z
2:Eminem
3:2 Pac
4:Biggie
5:Snoop Doggy
TAZAMA VIDEO
EmoticonEmoticon