TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

MOTHERS DAY : Alichokiandika Diamond Kwa Zari,"siku zote chochote ukitakacho nikiwa nacho lazma nikupe"

May 14 ni siku ya Mothers Day na baadhi ya wasanii wamewaandikia mama zao ujumbe ikiwa ni pamoja na Diamond bt Chibu ameongezea kitu tena cha ku m wish mama wa watoto wake baada ya kumpongeza mama yake mzazi.

Kupitia account ya Instagram Diamond aliandika ujumbe mzuri wa mapenzi na upendo kwa aliye mpenzi wake Zari.Ujumbealioandka ulikuwa unasomeka hivi,

"Kupata mtu wa kuzaa nae inaweza isiwe tabu sana ila kupata Mwanamke atae kubali kuacha stareh zote za dunia na kukulelea watoto ipaswavyo sio kitu rahisi.... kazi yangu imejawa na vishawishi vigi sana, wakati mwingine napatia wakati mwingine nakukosea lakini siku zote umekuwa mwenye kunielekeza nikoseapo na sio kunihukumu...na ndiomaana siku zote chochote ukitakacho nikiwa nacho lazma nikupe pengine itanisaidia kukuelezea ni kias gani nakupenda na kukuthamini.... Happy Mother's" Day @zarithebosslady


EmoticonEmoticon