Big Story ni kwamba JLo wakati akiwa anafanya shoo huko Las Vegas,aliweza kutembelea kiapnde kidogo cha Beat ya Drake ya Hotline Bling na kusema Neno “Huh. Booty Call” katika mdundo huo kabla ya kurudi kwenye kuendelea na performance.
Respond Yoyote kwa Drake mpaka sasa hakuna.Enjoy kuitazama Video hapo chini
— Mulla Star (@mullastar255) May 30, 2017
EmoticonEmoticon