Mrembo, mjasiriamali na mwanaharakati, Jokate Mwegelo ametajwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya miaka 30 wenye mafanikio katika sekta mbalimbali kwa mwaka 2017 katika jarida la Forbes Africa.
Jokate si Mtanzania pekee aliyeingia kwenye orodha hiyo bali ameungana na Lavie Make Up, mwanamke aliyejizolea umaarufu kwa kazi yake kupamba warembo.
Jokate alichoandika katika ukurasa wake wa Twitter,"God is so amazing!! Made it to the 30 under 30 list and on the cover of @forbesafrica with some amazing young Africans. I'm like "
God is so amazing!! Made it to the 30 under 30 list and on the cover of @forbesafrica with some amazing young Africans. I'm like 😮😍🤧🙏🏽😇❤️ pic.twitter.com/BzXU7cYnSh
— Jokate Mwegelo (@jokateM) May 29, 2017Katika Instagram Ameandika,"Looks whose on the cover of Forbes Africa with some other amazing young Africans doing amazing things to create wealth and transform our economies? God is so amazing. 🙏🏽😩❤️#Kidoti#MyAncestorsWouldBeProud#BeautyWithGuts #BeYou#EverythingIsPossibleGuys#UsisikilizeManenoYaWatu#KazaaMwendo #MunguYuMwema#WanaokudharauSikuMmojaWatakusalimiaKwaHeshima #Usengwile@forbesafrica"
EmoticonEmoticon