Nyimbo mpya ya Mwambie sina ambayo ni ya kwanza kutoka kwenye Label ya Alikiba, 'King’s Music' ambayo imebeba vijana ambao wapo kwenye nyimbo hii akiwemo boss wao Ali mwenyewe,Abdukiba,Cheed, Ki2ga pamoja na Killy.Unaweza kuitazama na ku download hapo chini.Enjoy
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon