TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

The Wait Is Over.Tarehe Na Cover La Album Ya Lil Wayne, 'Carter V ' Tayari Zimeshaachiwa.Full Story

Baada ya kusibiriwa kwa muda mrefu Album ya Lil Wayne 'Carter V' right now the wait is over kwani Album hiyo imeshatangazwa tarehe kamili na ya kutoka pamoja na Cover.

Kwa mujibu wa Official account ya Young Money ya Twitter wameweka picha ambayo ni Cover la allbum ya Carter v na caption inayosomeka,"🖐Put them 5s up ‼️‼️‼️"
Details zinasema kwamba album ya Carter V ya Lil Wayne inategemewa kuingia sokoni September 21 but taarifa hizo hazijawa Confirmed na Label hiyo,hizo ni Guess tu za watu.

Ukweli wa Album hii kudondoka ndani ya huu mwaka upo wazi,kutokana na Lil Wayne na Birdman wanayo mahusiano mazuri ambayo yanatokana na Birdman mwenyewe kumwomba msamaha Lil Wayne mbele ya mashabiki zaid ya 1000. 


EmoticonEmoticon