Watch In My Feelings Video By Drake
In My Feelings ikiendelea kuumiza katika chart za Billboard Hot 100 kwa kukamata nafasi ya 1 na Album ya Scorpion pia ikiendelea kuumiza kwa upande wa Album 200,Right now ameisogeza video iliyosubiriwa kwa muda mrefu.Unaweza kuitazama
EmoticonEmoticon