Msanii toka Nigeria Wizkid ametangaza kuachia Album mpya mwaka huu itakayokwenda kwa jina la Made In Lagos.
Akiwa katika mahojiano na Tim Westwood, Wizkid amefunguka na kusema,"Album yangu mpya itatoka hivi karibuni na inajulikana kwa jina la Made In Lagos ambayo itakuwa na ngoma 10 ndani yake na hakuna yeyote nliyemshirikisha,Strait Wizkid"
Last Project ya Wizkid Sound From The Otherside ilifanya vizuri kimauzo na kugonga katika chart za Billboard 200 nafasi ya 107.
EmoticonEmoticon