Ni miaka 2 na nusu imepita baada ya Rihanna kutoa Album yake ya mwisho,Na amefunguka kuhusiana na ujio mpya wa album yake ya 9 ambayo anaifanyia kazi wakati huu.
Rihanna amefunguka alipotembelea “The Graham Norton Show” na kusema kuwa,"Wakati mwingi nakuwa studio kuandaa kazi mpya" but alipoulizwa kuhusiana na muda wa kutoaka,alijibu na kusema,“You just have to wait and see.”(Unapaswa kusubiri na kuona.)
@madblackthot chica, I know the topic is currently Bey, but did you see what Rihanna said last night on Graham Norton about the new album???? pic.twitter.com/KP1Kx7jRnu— C.C. (@CammieColtMTV) June 17, 2018
EmoticonEmoticon