Pete Davidson ambaye ni mchumba wa sasa wa staa huyo ameongelea furaha aliyonayo ikiwa ni miezi mitatu tu tokea wajuane na Ariana Grande na kumvalisha pete ya uchumba na kusema kuwa ni kitu ambacho hakukitegemea katika maisha yake na anahisi kama ameibuka mshindi katika mashindano.
Peter amefunguka kupitia “The Tonight Show” na kusema "vijana watakujua mtaani kwa kuashiria kukukubali,kuna vijana wananifwata na kuniambia,‘Yo, man, you gave me hope.'”(umenipa matumaini)
Alilofunguka lingine ni kwamba alisema anajihisi kama mwenye bahati sana kumpata mtoto wa kike huyo,Ariana Grande,“I’m a lucky
Mwanadada Ariana Grande anafanya vizuri na ngoma zake 2 ambazo ni No Tears Left to Cry pamoja na The Light Is Coming,video na audio,zinazotegemewa kupatikana katika album ya Sweetener inayotegemewa kuingia sokoni Aug. 17
EmoticonEmoticon