Baada ya kumaliza mzozo wa kisheria na Lebel yake ya Cash Money,Rapper Lil Wayne yupo tayari kwaajili ya kuachia Album iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu,ambayo ni Carter V.
Akiwa katika Performance Miami ndani ya Story Night club weekend hii hapa,Weezy aliwaambia mashabiki,"Nlitaka tu kuwajulisha kwamba,leo nlikuwa na kikao na hakikuwa kikao kikubwa,kilikuwa kinazungumzia kuhusiana na tarehe ya kuachia Carter V"
TAZAMA VIDEO KUPITIA INSTAGRAM
EmoticonEmoticon