TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Meek Mill Ajishusha Kwa Drake.Akubali Kuna......(VIDEO)

Rapper Meek Mill amekaa chini na kituo cha Radio cha New York HOT 97 na kufanya mahojiano na kubwa ya swali aliloulizwa na limetokea kusikilizwa majibu yake na walio wengi ni kuhusiana na yeye pamoja na adui yake mkubwa Drake.

Meek aliulizwa kuhusiana na collaboration kati yake na Drake kwa wakati huu,Je wanaweza wakafanya.
"Inawezekana,kila kitu kinawezekana,Siko na chuki juu yake na siamini kama ana chuki kwangu,nlipokuwa katika hali iliyonipata nlimwona katika vyombo vya habari akisema,‘Free Meek Mill.’Watu wengi wanaweza kusema, 'Anataka kushikamana na kinachoendelea.' Mimi sijali sana kuhusu hilo.Kabla ya kuwa na suala la rap kidogo, nilimjua kama mtu, na yeye aliunga mkono."


EmoticonEmoticon