TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mambo 4 Muhimu Aliyozungumza Kanye West Kwenye Interview Baada Ya Muda Mrefu.Kuhusiana na Beyonce, Jay-z, Obama, Trump Na Mengine (VIDEO)

Kanye West doesn’t do too many interviews these days.

Hii ni baada ya last week kuonekana na Radio Personality Charlamagne wa Power 105 Fm na watu kuwa na maswali, wawili hao wanafanya kitu gani.But siku ya Leo Official Interview imedondoshwa kupitia youtube waliyokuwa wakiifanya nyumbani kwa Kanye West.

Moja kati ya Interview ndefu sana ambayo ina lisaa 1 na Dk 45 na Kanye amefunguka mambo mengi sana kuhusiana na Kimya chake kwa muda mrefu na kujibu maswali yaliyokuwa na utata kwa baadhi ya mashabiki waliyokuwa wakijiuliza.

Ya kuyajua maswali 4 muhimu aliyoyazungumza Kanye West na kubwa likiwa ni mahusiano yao na Rapper Jay-z kwa wakati huu ambalo limekata kiu ya mashabiki waliokuwa wanasubiri kusikia kuhusiana na hilo cs ni upande wa Jay tu alishazungumzia hilo.

  1. Kuhusiana na mahusiano Yake Na Jay-Z;
"Tupo vizuri na tunatumiana ujumbe kila mmoja,it's positive energy,Hatujaonana but I can feel him"

      2.Kuhusiana na Jay-z Na Beyonce kutohudhuria kwenye Harusi Yake Na Kim;

"Niliumia sana kwanini hawakuweza kufika kwenye harusi yangu,nilielewa walikuwa wanafanya mambo mengine lakini kama ni familia hauwezi kosa harusi yao,Situmii mahojiano haya kwa kuweka mambo yoyote mabaya lakini ninaona ukweli wangu."

     3.Kuhusiana na Baraka Obama cs anaonekana kuungana mkono Na Trump;

Kanye West alitaka Obama amwombe msamaha baada ya kumwita Jackass kwenye video iliyovuja mwaka 2009,"Haukuwahi kuniita na kuniomba msamaha,nadhani ungewasiliana na mimi Direct na kuwa kama,‘Yo, Ye, yo, you know what it is. I’m in the room and it was just a joke,'Unajua kwamba mimi ni Favorite rapper wako halafu sipo salama,Lakini ndiyo sababu unanipenda,Kwa hiyo uniambie unanipenda na uambie ulimwengu unanipenda,usiuambie ulimwengu kwamba mimi ni jackass. Ninapigana kwa bidii."


           4.Kuhusiana Na Rais Trump Ambaye anamuunga sana mkono kwa wakati huu;

"Ninapenda mabadiliko halisi,Ninapenda changamoto ya kawaida. Ninawapenda watu ambao hawapendi,Ninapenda ukweli watu wanaousema na kila mtu anatoa mawazo yao,Kila mtu anajidhihirisha mwenyewe.Napenda hivyo,Napenda hiyo. Nimekuwa nikisubiri wakati huu kwa muda.This is a ‘Ye moment in time.

Amezungumza mengi sana na hapo juu ni baadhi tu na muhimu uliyotakiwa kuyajua kwa ufupi but kwa full Details unaweza ukaitazama Interview hapo chini.


EmoticonEmoticon