TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lijue Kanisa Ambalo MUNGU wake Ni Beyonce Na Limenunuliwa Na Beyonce mwenyewe Ili Kuendeleza Dini Ya Beyism (PICHA)

Holy lord ... Beyonce now has her very own church!

Beyonce amenunua jengo la kanisa kongwe mjini New Orleans nchini Marekani.Kanisa hilo ambalo limejengwa kwa mawe miaka ya 1900’s limemgharimu Beyonce kiasi cha dola $850,000 sawa na pesa za kibongo bilioni 1.9 .

Kwa mujibu wa taarifa kutoka mitandao mbalimbali ya burudani duniani ikiwemo TMZ,Complex,XXL Mag, Shaderoom zinaeleza kuwa lengo la kununua kanisa hilo ni kueneza dini yake ya Beyism.
Waumini wa Kanisa hilo wanaimba nyimbo za Beyonce na kusoma biblia maalumu zinazoitwa beyble.Kanisa hilo la Beyonce limepambwa na picha nzuri za Beyonce akiwa amevalia mavazi ya nguo kama za viongozi wengine wa makanisa ya kikristo.
Dini hiyo ya Beyism Ilianzishwa toka mwaka 2014




EmoticonEmoticon