Kituo kipya cha runinga cha Wasafi TV leo Aprili 02, 2018 kitaanza kurusha matangazo yake mubashara kupitia King'amuzi cha Azam TV.Diamond Ameconfirm Hilo
Akithibitisha taarifa hizo, Diamond Platnumz ambaye ndiye mmiliki na muanzilishi wa kituo hicho, amesema kuwa matangazo hayo yataanza kuonekana kuanzia leo saa moja usiku na kwa watumiaji wa king’amuzi cha Azam, Wasafi TV itapatikana namba 122 .
"Kesho saa 1,"Akimaanisha Leo APRIL 2," Channel yetu ya Wasafi TV itaanza kuruka rasmi,Kupitia king'amuzi cha Azam Channel namba 122"
Hata hivyo, bado haijajulikana kama Wasafi TV itapatikana kwenye ving’amuzi vingine zaidi ya Azam TV
EmoticonEmoticon