Ni mara kadhaa wawili hao wamekuwa wakikanusha kuwa katika mahusiano ya kipenzi ila video hii inakuja kuthibitisha lilokuwa likizungumzwa kwa muda mrefu.
Video hiyo ya utupu inaaza kusambaa mtandaoni siku moja mara baada ya Nandy kum-wish happy birthday Bill Nass na kuachia picha ambazo hazikuwahi kuonekana hapo awali zikiwaonyesha wakiwa karibu zaidi.
EmoticonEmoticon