Watch ATM Video By J.Cole
Video ya kwanza toka kwenye Album mpya ya J.Cole inayoitwa KOD iliyotoka April 19 ambayo inamaana ya (Kids on Drugs.King Overdosed,Kill Our Demons)Hiyo ni Album ya 5 ya J.Cole.
Video imeongozwa na Scott Lazer pamoja na Cole mwenyewe.Itazame hapo chini
EmoticonEmoticon