C.E.O wa Cash Money Birdman ambaye right now ana mahusiano mazuri na Rapper Lil Wayne amefunguka na kutoa sifa kwa wasanii aliokuwa nao way back the way walivyo kwenye Industry ya music.
Birdman amefunguka na kusema kwamba huwa wanaongea na Drake na wanaheshimiana,"Tunaongeaga kuhusiana na maisha kuhusiana na anachofanya wakati huu,anayo maono na anafocus kwenye maono yake na ku complete mission,Drake ni Biggest Artist in The World na artist mwingine ambaye anamzidi Drake ni Lil Wayne na Nicki akifwata katika upande mwingine,Nicki Minaj ni Best Female Ever in Hip Hop History kwa upande wangu."
Birdman pia ameendelea kufunguka kuhusiana na uwezo wa Lil Kim, Miss Eliot & Lauren kwa kuwafananisha na Nicki Minaj na alisema,"Hawawezi kuifikia au kuwa Level moja na Nicki"
EmoticonEmoticon