April 12 Female Rapper Nicki Minaj alirudi kwa kishindo katika game ya music na ngoma 2 ambazo ni Chun-Li na Barbie Tingz na kufanya interview kwenye kituo kikubwa cha radio Beats One na mtangazaji Zane Lowe huku akifunguka mambo mengi.
Kubwa zaidi ni kuhusiana na Nicki Minaj kudondosha machozi katika interview akiwa nakufunguka kuhusiana na comment ya Cardi B baada ya ngoma ya Motorspot kutoka ambayo ni ya Migos.
Nicki baadhi ya aliyoyaongea"Kitu ambacho Cardi B aliumiza sana hisia zangu ni Interview aliyoifanya baada ya Motosport kutoka,kwasababu alikuwa anaonekana mwenye kuongezeka na hasira na kitu ambacho alikuwa akikisema ni kwamba, 'Oh sijaisikia,sijasikia ile verse'(akimaanisha verse ya Nicki Minaj kwenye Motorspot),I was like 'What?'.Alimaliza Nicki.kilichomuumiza Nicki ni the way cardi b anavyo act kwake kama anamkubali bt akifanya kitu anatalk behind her back badala ya kumfwata na kumwambia ,wenyewe.
Full Video
Kuhusiana na Drake:
Nicki Amesema,"Drake amechanganyikiwa kwangu kwa kitu fulani,mara zote amekuwa akitafuta sababu ya kutokuwa hata rafiki yangu, Sisi ni kama wanandoa wa zamani,On the real,Drake pia menipa ushauri mzuri katika career yangu,Kanipa ushauri mzuri, He’s very smart. Also, even when I couldn’t speak to him, I think he felt the love I will always have for him.”
Kuhusiana Na Female Rappers.
Nicki Alifunguka,“Shoutout to Cardi na female rappers wengine ambao wanafanya yao,kuna waschana wengi ambao wanaonyesha mapenzi na mimi ambao nataka kuwapa, Shoutout,Shoutout to Ms Banks,Kash Doll, Asian Doll & Maliibu Miitch wamekuwa wakionyesha upendo kwangu"
Lile Beef Kati Ya Meek Mill & Drake ambalo Nicki Hakuliongelea.
Nicki alifunguka,"Ilikuwa part ngumu sana katika carrier yangu kwa watu nlio date nao cs ni muda ambao nlikuwa na wapenda wote wawili,sikutaka kuongea sana.nlijiisi kama mfungwa kwa kipindi kile bt baadaye nlipoongea kuhusiana na hilo Drake aliniambia,'nlikuwa sijali lolote zaidi ya kuhisi kwamba vip Nicki takes a shot at me?nini kitafwata,vip nicki akinitemea mistar mimi(spit bars)'.Alisema hicho ndyo kitu ambacho alikuwa anahofia ambacho kingeleta maumivu kwetu sote"
Kusiana Na Hukumu Ya Meek Mill Cs Nicki Hakuliongelea hilo Before.
Nicki alifunguka,"Sitaki kuzungumza juu ya mambo ya kisheria,lakini nitasema kwamba kila mara kwa mara, nadhani nitahifadhi vitu hivyo kwenye album yangu na naanda pia Documentary.Nitafungukia kwenye Documentary na Album na kitu kikubwa kilichonifanya nitoe chozi ni nilipomuona mama yake mzazi akilia"
EmoticonEmoticon