TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kumbe Kanye West Bado Anamkubali Donald Trump.Tazama Alichokisema Hapa ujue....

Pamoja na baadhi ya watu weusi na weupe kuchukia uongozi wa Rais wa Marekani Donald Trump kwa Rapper Kanye West imekuwa tofauti kwani yeye ana mapenzi naye toka mwanzo wa safari yake mpaka right now ambapo anamwita ndugu yake.

Hii ni baada ya kuongea na Ebro wa Hot 97 kwenye Ebro In The Morning,Right now ameamia katika account ya Twetter na baadhi ya aliyoyaandika ni,"Huna budi kukubaliana na Trump,lakini kikundi hakiwezi kufanya mimi nisimpende.We are both dragon energy,Ni kaka yangu (Yeye ni ndugu yangu) Ninapenda kila mtu,Sikubaliana na kila mtu anachofanya,Hiyo ndyo inatufanya sisi watu binafsi na tuna haki ya kufikiri huru."
Mwisho wa Siku Rapper huyo aliandika alichomwambia Mke wake Kim Kardashian akiweke sawa kwa mashabiki,ambapo aliandika,"mke wangu aliniita  na alitaka nifanye jambo hili wazi kwa kila mtu.Sikubaliani na kila Trump analolifanya.Sikubaliani asilimia 100%  na Yeyote Ila Mimi."


EmoticonEmoticon