Baddest Female Rapper Cardi B ametimiza ndoto yake ya kuikamata nafasi ya 1 Billboard 200 upande wa Album baada ya kutoa album yake ya kwanza.
Invasion Of Privacy kwa muda wa siku 3 imeshauza zaidi ya copy 500,000(GOLD) kwa mujibu wa RIAA(Record Industry Association Of America) na mpaka week kuisha itakuwa mauzo ya album yake yamechezea kwenye 160,000 and 210,000 ambapo itakuwa April 12 na itakuwa Album itakayokamata nafasi ya 1 kwani hakuna Album iliyofikisha mauzo hayo kwa week hiyo.
Endapo Cardi atashikilia nafasi ya kwanza atakuwa female Rapper wa 5 ambaye ametoa album ya kwanza na ku land nafasi ya 1 kwenye chart hizo, na atakuwa wa 1 toka mwaka 2012.
Atafwatana na Nicki Minaj ambaye aliingiza album mbili kwenye chart hizo(Pink Friday: Roman Reloaded mwaka 2012, na Pink Friday mwaka 2011) Female rapper mwingine ni Eve ambaye aliingiza (Let There Be Eve… Ruff Ryders' First Lady, 1999)Akifwatiwa na Fox Brown akingiza ( Chyna Doll in 1999 na alikuwa akishirikiana na Nas, AZ na Nature) na mwanadada Lauryn Hill akiingiza (The Miseducation of Lauryn Hill, 1998).
Anotheside ni kuhusiana na Ujauzito wake ambao aliuonyesha live akiwa anaperfome SNL (Saturday Night Live) na kupitia Backstage Cardi alifunguka na kusema,“I’m finally free!” cs amekuwa akiandamwa sana na maneno juu ya kuuficha ujauzito huo,So right now maneno yatapungua cs mashabiki watakuwa tayari wameshaelewa ni mjamzito.
EmoticonEmoticon