Cardi is coming.
Card B Ametangaza rasmi ujio wa album yake ya kwanza iliyopewa jina Invasion of Privacy na amethibitisha inatoka April 6 2018.
Kupitia account yake ya Twitter Cardi B ameweka cover hiyo na caption kwa kuandika,“My album ‘INVASION OF PRIVACY’ will be out APRIL 6!Thanks for the love.”
Fans wa Nicki Minaj wanahisi kwamba Female Rapper Cardi B anatoa album yake mapema ili kumpisha Nicki Minaj na album yake ambayo ilizungumziwa HAPAMy album “INVASION OF PRIVACY” will be out APRIL 6!๐๐ฝ๐๐ฝThanks for the love❤️ pic.twitter.com/RVfqWHA7sX— iamcardib (@iamcardib) March 27, 2018
Mwanzoni mwa mwezi wa 7 cardi B anategemea kukipata kichanga chake ambapo right now ni mama kijacho.
EmoticonEmoticon