Watch Code Of Honor Video By Dj Esco Featuring Future & ScHoolboy Q
Dj Esco amemchukua Rapper Future pamoja na ScHoolboy Q katika video ya ngoma ya Code Of Honor itakayopatikana katika album yake ya 4 itakayokwenda kwa jina la Kolorblind.
Video imeongozwa na GT Films Productions.
EmoticonEmoticon