TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

The Wait Is Over.Album Ya Cardi B Itatoka Tarehe Hii Hapa (VIDEO)

Wanna party with Cardi?

Hatua ya Cardi B kutangaza ujio wa Album yake ni baada ya ushindi mkubwa alioupata katika ugawaji waTuzo za iHeart Radio na kutoka na ushindi wa Tuzo 2 ya Best New Artist pamoja na Best New Hip Hop Artist.

Ametoa tangazo hilo wakati akiwa anapokea tuzo ya Best New Artist na kusema,"My album will be coming in April, okurr!” aliiambia crowd. “Yes, sir, April. Stay tuned, motherfuckers.
Album ya Cardi B ilikuwa itoke toka mwaka jana 2017 but haikutoka.Right now tunao muda kamili.

Keep In-touch 


EmoticonEmoticon