Rudeboy anayeliunda kundi la P Square amefunguka jambo kubwa katika mahojiano na Hip Tv kuhusiana na jambo ambalo mashabiki wasilitegemee kwake mwaka huu.
Kupitia mahojiano yake amefunguka na kusema kwamba,Mashabiki wasitegemee solo Album yake mwaka huu labda mwaka kesho bt atakuwa anatoa ngoma na video.
EmoticonEmoticon