Baada ya kuwa prove watu wrong baada ya tetesi za mahusiano yao kuvunjika,Right now Headlines ni kuhusiana na Alichokiandika Big Sean kwenye Birthday ya miaka 30 ya mpenzi wake Jhene ambayo ameadhimisha Leo March 16.
Kupitia account yake ya Twitter Big Sean ameandika,"Happy Birthday my Pisces Queen, I love you the most forever! U mean the world and more and thanks for all the inspiration and light you give to us all! 3:16 baby! 



"





Kwa upande wa Jhene Aiko amejipongeza mwenyewe kwa kufikisha umri wa miaka 30 kwa kuweka picha zake za utoto na kuandika,"#TBT happy birthday eve Penny PenHappy Birthday my Pisces Queen, I love you the most forever! U mean the world and more and thanks for all the inspiration and light you give to us all! 3:16 baby! ❤️♋️☯️☸️❤️🐉😘— Sean Don (@BigSean) March 16, 2018

"
#TBT happy birthday eve Penny Pen ☺️ pic.twitter.com/rHeBRzMWpW— Penny (@JheneAiko) March 15, 2018
EmoticonEmoticon