Diamond Platnumz ameonekana kukerwa na majibu ya Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa Na Michezo Mh. Shonza ambayo amekuwa akiyatoa kuhusu kufungia nyimbo za wasanii bila ya kuwapa taarifa sahihi,Right now Diamond ameamua kumjibu kwa mara nyingine na safari hii ametumia mtandao wa Twitter.
Chibu ameandika,"Swala la Barua Unalijua leo baada ya Kukosa Point sahihi?
Ungekuwa unajua kama taratibu sahihi ni Kuandika Barua, Mbona hukuwatumia pia Wasanii barua zakuwa unafungia kazi zao?... kwakuwa Uliyapeleka Social Media na Radio, nami nikakupelekea huko ili uenjoy Zaidi..."Swala la Barua Unalijua leo baada ya Kukosa Point sahihi?— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) March 20, 2018
Ungekuwa unajua kama taratibu sahihi ni Kuandika Barua, Mbona hukuwatumia pia Wasanii barua zakuwa unafungia kazi zao?... kwakuwa Uliyapeleka Social Media na Radio, nami nikakupelekea huko ili uenjoy Zaidi...❤
EmoticonEmoticon